NAMALIZA NA VYANGU-MAOMBI YA UPONYAJI JUU YA WATOTO(10.11.2021)
Minister Mocky
0:00 / 0:00
NAMALIZA NA VYANGU-MAOMBI YA UPONYAJI JUU YA WATOTO(10.11.2021)
4 074 просмотра · 4 г. назад
Minister Mocky
22 тыс. подписчиков
4 074 просмотра · 4 г. назад
Bwana Yesu asifiwe wapendwa,
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya kila maombi ambayo ametupa kuyafanya ya NAMALIZA NA VYANGU
Leo ni siku ya maombi ya UPONYAJI na leo tutaenda kuombea uponyaji kwa watoto,
Neno la Mungu linasema;
“Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.”
Zab 127:3 SUV
Mungu amewatoa watoto kama thawabu na pia anakusudia kuwalinda ili watimize kusudi lake hapa duniani,
Maombi haya unaweza kuomba na watoto wako au kama wako shule hawawezi wewe mzazi unaweza kusimama kwa niaba yao,
Chochote ambacho shetani alikifanya kwa watoto wako nakiharibu kwa jina la Yesu,
Ninatamka watoto wako watakua mfano na uthibitisho wa kwamba YESU YU HAI NA ANAWEZA KUTENDA ZAIDI YA TUWAZAVYO,Kwa Jina la Yesu,AMEN.
Min Mocky