MADIWANI WAKERWA KWA UKOSEFU WA MAJI KWENYE TAASISI ZA ELIMU
Bugoma TV
0:00 / 0:00
MADIWANI WAKERWA KWA UKOSEFU WA MAJI KWENYE TAASISI ZA ELIMU
15 просмотров · 1 месяц назад
Bugoma TV
715 подписчиков
15 просмотров · 1 месяц назад
KATAVI: Licha ya makusanyo mazuri ya mapato ya ndani katika halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi lakini bado kuna miradi ya maendeleo imeshindwa kukamilika huku baadhi ya miradi iliyokamilika haitumiki ambapo baadhi ya shule hazina maji huku vyoo vikiwa tayari vimekamilika
Hayo yamesemwa mnamo tarehe 04/08/2026 na baraza la madiwani katika mkutano mkuu wa mwaka 2025/2026 katika kutazama utekelezaji na mafanikio ya miradi.
Mbunge wa jimbo la Tanganyika Seleman Kakoso amesema kuna umuhimu wa kujenga vyoo vya kawaida ili kuweka tahadhari ambayo inaweza kujitokeza.
Aidha mwenyekiti wa halimashauri hiyo Hamad Mapengo amesisitiza watumishi kutekeleza wajibu wao ipasavyo ili kuondokana na changamoto zinazoweza kujitokeza katika miradi.