Dodoma Jiji yapata ajali eneo la Somanga Lindi
Azam TV
0:00 / 0:00
Dodoma Jiji yapata ajali eneo la Somanga Lindi
9 321 просмотр · 1 г. назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
9 321 просмотр · 1 г. назад
#:Viwanjani: Kikosi cha Dodoma Jiji kimepata ajali katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi wakati kikitokea Ruangwa ambako kilicheza mechi ya NBC Premier League dhidi ya Namungo FC.
Ajali hiyo inatajwa kutokana na basi la Dodoma Jiji kutumbukia katika mto na kujeruhi wachezaji kadhaa huku kukiwa hakuna taarifa za vifo.
Kwa undani wa ajali hii endelea kuwa karibu na kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
#Ajali #DodomaJiji