Kita Mata | Fally Ipupa | Tafsiri ya Swahili Kutoka Lingala
Bolingo Zaire
0:00 / 0:00
Kita Mata | Fally Ipupa | Tafsiri ya Swahili Kutoka Lingala
523 просмотра · 1 мес. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
523 просмотра · 1 мес. назад
Hii ni tafsiri ya Swahili ao Kiswahili ya wimbo Kita Mata wa Fally Ipupa kutoka lugha ya Lingala hadi Swahili.
Fally Ipupa anaongelea historia nzuri sana ya mapenzi inasimuliwa na mpenzi ao mke wa Martin Lukusa ambaye ni mkurugenzi wa shirika la ONATRA pale Congo.
Niambie maoni yako kwenye comment section ya wimbo huu.
Andika jina la wimbo wowote wa Lingala ambao ungependa nitafsiri katika Swahili ao English.
Watu wote wa Afrika Mashariki kuanza na Kenya, Burundi, Rwanda, Unganda na Swahili Diaspora mtaburudika sana na ngoma hii kutoka kwa Fally Ipupa.
#kitamata #fallyipupa #swahili #lingala #translation