Etoile D'Etat | Koffi Olomide | Tafsiri ya Swahili Kutoka Lingala
Bolingo Zaire
0:00 / 0:00
Etoile D'Etat | Koffi Olomide | Tafsiri ya Swahili Kutoka Lingala
773 просмотра · 4 нед. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
773 просмотра · 4 нед. назад
Karibu sana kwenye tafsiri ya Swahili kutoka Lingala ya wimbo Etoile d'etat wake Koffi Olomide kutoka kwenye album ya 'Abrakadabra'.
Wimbo huu unazungumzia historia ya mapenzi ya mme wa Claudia Ikia Sassou. Mme wa Claudia anamsifu sana mke wake ndani ya wimbo huu na amehamuwa kumuita kwa jina la utani 'Etoile D'etat' ikimaanisha Nyota wa taifa.
Utanufaika sana na ujumbe ulio ndani ya wimbo huu wa kuvutia sana wa mapenzi.
Iwe wewe ni kutoka Tanzania, Kenya, Unganda, Burundi, Rwanda, Mashariki ya Congo na kila sehemu ambako Swahili ao Kiswahili kinaongelewa, basi usikose kuomba wimbo wako kwa kutoa tu comment kwenye moja ya video za hapa YouTube.
#abracadabra #koffiolomide #cindy #rumba #swahili