Перейти к содержимому

WANANCHI WAKAMATWA na POLISI SIMANJIRO BAADA YA MKURUGENZI KUSUSIA MKUTANO wa KIJIJI OKUTU

Global TV Online

0:00 / 0:00

WANANCHI WAKAMATWA na POLISI SIMANJIRO BAADA YA MKURUGENZI KUSUSIA MKUTANO wa KIJIJI OKUTU

18 541 просмотр · 2 года назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
18 541 просмотр · 2 года назад
WANANCHI WAKAMATWA na POLISI MANYARA BAADA YA MKURUGENZI KUSUSIA MKUTANO wa KIJIJI OKUTU... Baada ya kilio Cha muda mrefu Cha wakazi Wa maeneo haya ambao wengiwao ambao ni wakulima wamekuwa wakiwa wanalalamikia Mpango muovu wanaodai umesukwa na watu wenye fedha na baadhi ya wanasiasa wenye lengo la kuwaondoa wao Kisha maeneo haya yageuzwe kuwa Rachi ya ufugaji Wa mifugo ya matajiri wenye mifugo mingi kutoka nje ya Kijiji Chao ... Wiki Moja iliyo pita hapa wananchi Wa Kijiji hiki walipewa Taarifa kuwa Mkurugenzi Wa halimashauri Yao ya simanjiro Atakuwa na Mkutano mkuu Wa Kijiji kwaajili ya kutatua changamoto hiyo inayopewa jina la mgogoro kati ya wakulima na wafugaji ili kuwaondoa wakulima... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx