Перейти к содержимому

MZEE AJICHIMBIA KABURI MTWARA | AFUNGUKA MAZITO, MTUME WA MUNGU AHUSISHWA.

Faida Online TV

0:00 / 0:00

MZEE AJICHIMBIA KABURI MTWARA | AFUNGUKA MAZITO, MTUME WA MUNGU AHUSISHWA.

5 423 просмотра · 3 г. назад
Faida Online TV
24,1 тыс. подписчиков
5 423 просмотра · 3 г. назад
Katika hali isiyo ya kawaida Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Mussa Rashidi Maondo, maarufu kama Walii Liuje, mkazi wa Kijiji cha Chiwindi Halmashauri ya Mji Newala Mkoani Mtwara, amejichimbia Kaburi lake yeye mwenyewe huku akidai kuwa ameoteshwa na Mtume Muhammad (S.A.W) kufanya hivyo. Faida Online TV tumefika Kijijini hapo na kuzungumza na Mzee huyo, huku Watoto wake nao wakimuunga mkono. USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV KISHA BONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI KUPATA HABARI ZETU.