Перейти к содержимому

WATOA LESENI na MAFUNZO FEKI ya UDEREVA KUKIONA CHA MOTO, RTO MANYARA ATOA ONYO KALI...

Global TV Online

0:00 / 0:00

WATOA LESENI na MAFUNZO FEKI ya UDEREVA KUKIONA CHA MOTO, RTO MANYARA ATOA ONYO KALI...

3 272 просмотра · 3 года назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
3 272 просмотра · 3 года назад
WATOA LESENI na MAFUNZO FEKI ya UDEREVA KUKIONA CHA MOTO, RTO MANYARA ATOA ONYO KALI... Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Manyara, SSP Georgina Richard Matagi amewaonya watu ambao wamekuwa wakifika katika maeneo mbalimbali hasa vijijini kwa kuanzisha mafunzo ya usalama barabarani na kuchukua fedha kwa wananchi. Ameyasema hayo wakati akiongea na madiwani wa halmashauri ya Kiteto ambapo amesema mafunzo yote na utoaji wa vyeti na leseni yanasimamiwa na jeshi la polisi na hivyo ole wake abaini watu ambao wamekuwa wakifanya uhuni huo... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES   ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline