"Wanawake msikate tamaa" Mhe. Badria Atai Masoud
suza tv
0:00 / 0:00
"Wanawake msikate tamaa" Mhe. Badria Atai Masoud
402 просмотра · 3 нед. назад
suza tv
911 подписчиков
402 просмотра · 3 нед. назад
WOMAN WHO LEAD | SUZA TV
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Badria Atai Masoud, anazungumza kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi, akiwataka wanawake kujiamini, kuthubutu na kuchangamkia fursa za uongozi ili kuongeza ushiriki wao katika nafasi za maamuzi na maendeleo ya jamii.
Katika mahojiano haya maalum ya “Woman Who Lead” yaliyoandaliwa na SUZA TV, Mhe. Badria pia anasisitiza umuhimu wa kuwawezesha watoto wenye mahitaji maalum kupata fursa katika elimu, kuendeleza vipaji vyao na kushiriki kikamilifu katika jamii.
📍 Mahojiano: Kisauni, Mjini Unguja
🎥 Kipindi: Woman Who Lead
📺 Mtayarishaji: SUZA TV
Tazama, Like, Share na Subscribe SUZA TV kwa vipindi na habari zaidi.
#WomanWhoLead #SUZATV #BadriaAtaiMasoud #WomenInLeadership #Uongozi #Wanawake #zanzibarisland