Перейти к содержимому

MaShahidi wa Bwana na Mwokozi Yesu Kristo. 24. || Gavana: 02. -At Rwanganga PWM -Pastors Day

Pastor Joseph Muiruri

0:00 / 0:00

MaShahidi wa Bwana na Mwokozi Yesu Kristo. 24. || Gavana: 02. -At Rwanganga PWM -Pastors Day

83 просмотра · 1 год назад
Pastor Joseph Muiruri
102 подписчика
83 просмотра · 1 год назад
MaTendo 25. 01. MaTendo 25:1-6. Njama. Gavana Festo anafika katika Mkoa. Baada ya siku tatu - 3, anaondoka Kaisaria kwenda YeruSalemu. Kuhani Mkuu na Viongozi wa WaYahudi WanamJulisha kuhusu Paulo. WanaMsihi aletewe Yerusalemu. Wakati huo, walikuwa WamemVizia Njiani ili WamuUe. Festo anajibu kuwa Paulo AtaBaki Alipo, kwani yeye Mwenyewe anaelekea huko. Wale waliokuwa na MaMlaka waende PaMoja naye na WamShtaki Paulo, ili WaJue kama kuna Kosa LoLote. Baada ya zaidi ya siku kumi - 10, wanaenda Kaisaria. Siku IliyoFuata, Kikao cha MaHakama KinaAnza na Paulo AnaLetwa mbele yao. Funzo. MaTeso ya Mwenye Haki ni Mengi, Lakini Bwana HumPonya nayo Yote: Zaburi 34:19. 02. MaTendo 25:7-9. MaDai. WaYahudi WanaWasilisha MaLalamiko MaZito dhidi ya Paulo, lakini HawaWezi KuThibitisha YoYote. Paulo AnaJibu kuwa HakuVunja Sheria ya WaYahudi, wala Hekalu, wala za Kaisari. Festo, AkiTaka KuwaPendelea WaYahudi, AnamuUliza Paulo kama Yuko Tayari kwenda YeruSalemu ili AmHukumie huko. Funzo. Kwa maana WanaiOtea Nafsi yangu; Wenye Nguvu WameniKusanyikia; Ee Bwana Mungu, Si kwa Kosa Langu, Wala Si kwa Hatia Yangu: Zaburi 59:3. 03. MaTendo 25:10-12. Ombi. Paulo anasema kuwa AnaSimama Mbele ya Kiti cha Hukumu cha Kaisari, Mahali AnapoStahili KuHukumiwa. Festo AnaJua ViZuri kuwa HajawaKosea WaYahudi. Ikiwa AmeTenda Kosa LinaloStahili Adhabu ya Kifo, hana PingaMizi. Lakini kama HaKuna ChoChote kwenye MaDai hayo, HaKuna Mtu AnayeWeza KumPeleka kwa WaYahudi. AnaOmba KuHukumiwa na Kaisari. Festo baada ya KuShauriana na Baraza, anajibu Kuwa kwa Kuwa Paulo AmeOmba KuaSikilizwa na Kaisari, basi AtaEnda kwa Kaisari. Funzo. Angalieni, Mimi NawaTuma kama Kondoo Kati ya Mbwa-Mwitu; Basi Iweni na Busara kama Nyoka, na kuwa Watu WaPole kama Hua: Mathayo 10:16. 04. MaTendo 25:13-22. Agripa. Baada ya siku kadhaa, MFalme Agripa na Bernike wanafika Kaisaria kumtembelea Festo. Walipokaa siku nyingi huko, Festo AkamwEleza kesi ya Paulo. Ni Jambo LinaloHusu Dini yao na Mtu fulani aitwaye Yesu, AliyeKufa, ambaye Paulo AnaShikilia kuwa yu Hai. Paulo alikuwa ameOmba kwa Hiari Yake MweNyewe, Awekewe UAmuzi wa Kaisari Augusto. Agripa anasema kuwa angetaka KumSikia Paulo. Hii inapangwa kufanyika siku inayofuata. Funzo. Na Herode AlipomwOna Yesu AliFurahi sana, kwa Sababu alikuwa AkiTaka sana KuMwona tangu siku Nyingi, maana AmeSikia habari zake, AkaTaraji Kuona Ishara iIliyoFanywa na Yeye: Luka 23:8. 05. MaTendo 25:23-27. UTata. Kwa Fahari kubwa, Agripa na Bernike wanaingia Ukumbi wa MaHakama, pamoja na MaKamanda na Watu Mashuhuri wa Mji. Paulo analetwa ndani. Festo anamjulisha na anawaeleza kuwa HakuPata Kosa Lolote LinaloStahili Kifo. Paulo MweNyewe ndiye AliyeOmba Kesi yake isikizwe na Kaisari Augusto, na sasa AnaSubiri KupeLekwa huko. Festo hana LoLote Hasa la KuAndika kuhusu Paulo. Hivyo, UChunguzi wao, hasa wa Agripa, UnaWeza kutoa Jambo la KuAndika. InaOnekana sio Busara KumPeleka MFungwa bila MaShtaka yaliyo Wazi. Funzo. AkawaAmbia mara ya tatu, Kwa Sababu Gani? Huyu AmeTenda Uovu Gani? SikuOna kwake Hata Neno LiPasalo Kufa. Basi NikiIsha KumRudi NitamFungua: Luka 23:22. Tafakari. Alipokuja, wale WaYahudi walioshuka kutoka Yerusalemu WakaSimama Karibu yake WakaLeta MaShitaka mengi MaZito juu yake, WasiyoWeza KuyayaKinisha: MaTendo 25:7. Wazo Kuu. Kwa MaAna NaOna Ni neno Lisilo MaAna KumPeleka MFungwa, bila KuOnyesha MaShitaka yale AliyoShitakiwa: MaTendo 25:27. Sala. Na wale WaliomShitaki WalipoaSimama HawakuLeta Neno Lo Lote Baya, kama NilivyoDhani: MaTendo 25:18