MHE. OTHMAN MASOUD AMESEMA KILA MMOJA ANAWAJIBU WA KULINDA NA KUTUNZA HIFADHI HAI YA JOZANI.
Zbc Zanzibar
0:00 / 0:00
MHE. OTHMAN MASOUD AMESEMA KILA MMOJA ANAWAJIBU WA KULINDA NA KUTUNZA HIFADHI HAI YA JOZANI.
3 382 просмотра · 3 года назад
Zbc Zanzibar
88,3 тыс. подписчиков
3 382 просмотра · 3 года назад
Makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amesema kila moja anawajibu wa kulinda na kutunza hifadhi hai ya Jozani Ghuba ya Chwaka ili kusaidia kubaki salama na kuwa kivutio kwa wageni.
#zbctvonline#zbczanzibar.