Перейти к содержимому

MAZIKO YA MUME WA RAIS SAMIA ZANZIBAR LEO | Viongozi na Wananchi WAMUAGA KWA HUZUNI.

ZC THREE CHANNEL

0:00 / 0:00

MAZIKO YA MUME WA RAIS SAMIA ZANZIBAR LEO | Viongozi na Wananchi WAMUAGA KWA HUZUNI.

3 660 просмотров · 6 дней назад
ZC THREE CHANNEL
92 подписчика
3 660 просмотров · 6 дней назад
Zanzibar leo imeungana na familia, viongozi pamoja na wananchi katika kutoa heshima za mwisho na kumuaga mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Tukio hili limehudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi waliojitokeza kushiriki katika mazishi na kutoa pole kwa familia katika kipindi hiki cha majonzi. Tazama video hii kwa picha na matukio muhimu yaliyojiri Zanzibar leo wakati wa mazishi. ZC THREE — Habari, Matukio na Matukio Maalum kutoka Zanzibar. PRODUCED BY SHABANI JUMA SHABANI. #ZCThree #Zanzibar #Maziko #RaisSamia #Tanzania #BreakingNews #HabariZanzibar