JAFO: MALORI YA MAKAA YA MAWE YAFUNIKWE TURUBAI
Khomein Tv
0:00 / 0:00
JAFO: MALORI YA MAKAA YA MAWE YAFUNIKWE TURUBAI
312 просмотров · 3 года назад
Khomein Tv
8,05 тыс. подписчиков
312 просмотров · 3 года назад
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemeani Jafo, amewaagiza wawekezaji wote katika biasharaya usafirishaji wa Makaa ya Mawe, kuhakikisha Malori yote yanayosafirisha bidhaa hiyo yanafunikwa vizuri na turubai, kuzuia uchafuzi wa mazingira.
Jafo ametoa agizo hilo Julai 24, 2023 akiwa katika eneo la kuhifadhia Makaa ya Mawe ya kampuni ya Jitegemee Holdings, alipofika kukagua namna wanavyozingatia utunzaji wa mazingira.
Muandaaji: JUMA MOHAMED
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU