TUNU MWENDESHA BAJAJI ALIYEFANIKIWA KUJENGA NYUMBA YA ZAIDI YA MILIONI 30 NA MIRADI MINGINE
lucas maziku
0:00 / 0:00
TUNU MWENDESHA BAJAJI ALIYEFANIKIWA KUJENGA NYUMBA YA ZAIDI YA MILIONI 30 NA MIRADI MINGINE
4 224 просмотра · 8 лет назад
lucas maziku
2,21 тыс. подписчиков
4 224 просмотра · 8 лет назад
Tunu Ndege ni Mkazi wa mkoa wa Mara aliyeanza kazi kwa kuajiriwa kwenye kiwanda cha Samaki na badae kupata mtaji wa kununua pikipiki, alifanya kazi ya bodaboda kwa miaka kadhaa na kufanikiwa kununua Bajaji, Amejenga Nyumba anaduka la rejareja na miradi mingine, fuatilia makala hii kwa undani zaidi. Mtayarishaji Gigwa Mhule, MpigaPicha na Mhariri Picha ni Lucas Maziku, Jarida Maridhawa liliruka Star Tv