Jinsi Emotional Intelligence Inavyosaidia Kwenye Kazi na Mahusiano - Dr Garvin Kweka
Hamasika Tv
0:00 / 0:00
Jinsi Emotional Intelligence Inavyosaidia Kwenye Kazi na Mahusiano - Dr Garvin Kweka
14 234 просмотра · 1 год назад
Hamasika Tv
122 тыс. подписчиков
14 234 просмотра · 1 год назад
Unajua kuwa Emotional Intelligence (EQ) inaweza kuamua mafanikio yako kazini na uimara wa mahusiano yako zaidi kuliko IQ?
Katika video hii, tunachunguza kwa undani jinsi ujuzi wa EQ unavyoweza kuboresha mawasiliano, kuongeza ushirikiano kazini, na kuimarisha uhusiano wako na marafiki na familia
Utajifunza:
• Jinsi Emotional Intelligence inavyokusaidia kujenga na kudumisha mahusiano bora
• Vidokezo rahisi vya kuongeza kiwango chako cha Emotional Intelligence (EQ) kila siku
Ikiwa unataka kuwa kiongozi bora, mshiriki wa timu mwenye ushawishi na mtu anayeelewa hisia za wengine, basi video hii ni kwa ajili yako.
#EmotionalIntelligence #Kazi #Mahusiano #Motivation #PersonalGrowth #Leadership