"Ufuasi wa Bei Rahisi: Je, Unamlaghai Mungu na Watumishi Wake
Lux Fidei
0:00 / 0:00
"Ufuasi wa Bei Rahisi: Je, Unamlaghai Mungu na Watumishi Wake
385 просмотров · 3 мес. назад
Lux Fidei
1,15 тыс. подписчиков
385 просмотров · 3 мес. назад
Je, unajua kuwa ufuasi una gharama kubwa? Padre Benjamin anaongoza tafakari ya Dominika ya 13 Mwaka A akifunua ukweli mchungu kuhusu gharama ya kumfuata Kristo na siri iliyopo nyuma ya kuwa mkarimu kwa watumishi wa Mungu. Tupa jicho ndani ya video hii uone uchambuzi wa kina utakaokushtua na kukujenga kiroho!
#Luxfidei #MwangawaImani