SERIKALI KUFANYA TATHMINI YA HASARA ZA MOTO SOKO LA MACHINGA
DODOMA RS TV CHANNEL
0:00 / 0:00
SERIKALI KUFANYA TATHMINI YA HASARA ZA MOTO SOKO LA MACHINGA
21 просмотр · 3 дня назад
DODOMA RS TV CHANNEL
1,27 тыс. подписчиков
21 просмотр · 3 дня назад
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Staki Senyamule, amesema timu maalum ya uchunguzi itaundwa kwa kushirikisha wawakilishi wa wafanyabiashara walioathirika, ili kufanya tathmini ya kina ya hasara na madhara yaliyotokana na moto katika Soko la Machinga.
Taarifa sahihi zitakazopatikana zitatumika kuweka msingi wa hatua stahiki za Serikali na wadau katika kukabiliana na athari za tukio hilo.
Serikali iko kazini. Ufuatiliaji unaendelea.
#DodomaYaMafanikio #SerikaliKazini #SokoLaMachinga #KaziInaendelea