Перейти к содержимому

Wafugaji waliopigiwa mnada mifugo yao, wasaidiwa mifugo mingine

Azam TV

0:00 / 0:00

Wafugaji waliopigiwa mnada mifugo yao, wasaidiwa mifugo mingine

15 288 просмотров · 4 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
15 288 просмотров · 4 года назад
Wafugaji wa jamii ya Kimaasai kutoka Vijiji 11 vya Tarafa ya Enduimet, wilayani Longido, mkoani Arusha wamejitolea mifugo inayojumuisha ng’ombe, mbuzi na kondoo na kuwapa wenzao ambao wamekuwa kwenye changamoto ya maisha baada ya mifugo waliyokuwa wakiimiliki kupigwa mnada.