Перейти к содержимому

ALICHOKISEMA NAIBU KATIBU MKUU KWENYE MKUTANO WA DOHA DIALOGUE

Daily News Digital

0:00 / 0:00

ALICHOKISEMA NAIBU KATIBU MKUU KWENYE MKUTANO WA DOHA DIALOGUE

3 811 просмотров · 2 дн. назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
3 811 просмотров · 2 дн. назад
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha usalama na kulindwa kwa haki za Watanzania wanaokwenda kufanya kazi katika nchi za Ghuba, ikiwemo kuwa na taarifa sahihi kuhusu mwajiri, mshahara na mazingira ya kazi kabla ya mfanyakazi kuondoka nchini. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu–Kazi, Ajira na Mahusiano, Zuhura Yunus, amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Mkutano wa Pili wa Doha Dialogue kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi na Ajira unaofanyika jijini Dar es Salaam. Amesema mkutano huo unawakutanisha nchi za Ghuba zinazounda Baraza la Ushirikiano la Nchi za Ghuba (GCC) pamoja na nchi za Afrika, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uhamaji wa nguvu kazi na ajira. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09