Kufinyanga vichwa vya watoto
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Kufinyanga vichwa vya watoto
17 763 просмотра · 5 лет назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
17 763 просмотра · 5 лет назад
Kuna baadhi ya wazazi ambao wana mazoea ya kufinyanga vichwa vya watoto wao wachanga kwa lengo kuwasaidia kuwa na muonekano mzuri. Video ya #KurunziAfya leo inamulika hatari zinazojitokeza.