MANGUNGU AHOJI UKIMYA WA TFF, BMT ISHU YA MCHAKATO WA MABADILIKO SIMBA
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
MANGUNGU AHOJI UKIMYA WA TFF, BMT ISHU YA MCHAKATO WA MABADILIKO SIMBA
3 053 просмотра · 1 дн. назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
3 053 просмотра · 1 дн. назад
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, ameiomba TFF na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuchukua hatua kuhusu mchakato wa mabadiliko na uwekezaji ndani ya klabu hiyo, akieleza kushangazwa na ukimya wa mamlaka hizo.
Mangungu amesema Simba ni taasisi kubwa yenye mchango katika kuunganisha Watanzania, hivyo amewataka wanachama kuepuka kauli zinazoweza kuibua hisia, huku akisisitiza umuhimu wa kuchunguza uhalali wa bodi na mchakato huo kwa kuzingatia Katiba ya Simba, kanuni za TFF na sheria za nchi.
Mangungu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanahabari leo Oktoba 29, 2026 jijini Dar es Salaam.