Kesho mapema nitakuwa kituoni kupiga kura - Maalim Seif
Weyani Tv
0:00 / 0:00
Kesho mapema nitakuwa kituoni kupiga kura - Maalim Seif
39 561 просмотр · 6 л. назад
Weyani Tv
99 тыс. подписчиков
39 561 просмотр · 6 л. назад
Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo na mgombea urais wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema licha ya vitisho na uchafu wote unaofanywa na mamlaka za dola pamoja na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kesho Jumanne tarehe 27 Oktoba 2020, atawakuwa kituo cha kupigia kura cha Garagara, Mtoni, Mjini Magharibi Unguja kwa ajili ya kupiga kura yake.