Перейти к содержимому

Toba na Utambuzi | Jmdklm, Kanisa la Mungu

World Mission Society Church of God / Global

0:00 / 0:00

Toba na Utambuzi | Jmdklm, Kanisa la Mungu

608 просмотров · 9 дней назад
World Mission Society Church of God / Global
144 тыс. подписчиков
608 просмотров · 9 дней назад
Tunawezaje Kuokolewa Kutoka Hukumu ya Mungu Baada ya Kifo cha Mwili? Watu wote wa ulimwengu walitupwa chini kutoka mbinguni kwa sababu ya kutenda dhambi kubwa inayoongoza kwenye mauti. Kwa hivyo, ni lazima tukumbuke kila wakati kwamba sisi ni wenye dhambi, tujiepushe na kiburi, tukatae kufuata ulimwengu huu mwovu, na tuishi maisha ya toba ili tuokolewe kutoka katika hukumu itakayokuja baada ya kifo chetu cha kimwili. Waumini wa Kanisa la Mungu Hutoa Mioyo Yao Kuongoza Wanadamu Wote kwa Mungu Wale ambao wametubu kweli pia hujitolea mioyo yao kuwaongoza wengine kutubu. Kama vile mama wa kweli na mama wa uongo walivyofunuliwa kupitia matendo yao katika hukumu ya Solomoni, wale ambao wamefikia toba inayoongoza kwenye wokovu pia hufunua mioyo yao kupitia matendo yao. “Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.” Luka 5:32 “Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.” Luka 13:5 [ Hakimiliki za video hii zimehifadhiwa na Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Hairuhusiwi kunakili na kusambaza bila kibali. ] 〖World Mission Society Church of God〗https://watv.org 〖WATV Media Cast〗 https://watvmedia.org/sw 〖Church of God Introduction〗 https://introwmscog.com