MCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA LINI? MWIGULU AFUNGUKA BUNGENI - ATOA UHAKIKISHO KWA WATANZANIA!..
Global TV Online
0:00 / 0:00
MCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA LINI? MWIGULU AFUNGUKA BUNGENI - ATOA UHAKIKISHO KWA WATANZANIA!..
4 362 просмотра · 1 дн. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
4 362 просмотра · 1 дн. назад
MCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA LINI? MWIGULU AFUNGUKA BUNGENI - ATOA UHAKIKISHO KWA WATANZANIA!..
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Mhe. Ado Shaibu, amemuuliza Waziri Mkuu swali kuhusu ahadi ya serikali ya kufufua mchakato wa Katiba Mpya na lini mchakato huo utaanza rasmi.
Tazama majibu ya kina ya Mheshimiwa Waziri Mkuu akieleza msimamo wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hatua za kisheria zinazochukuliwa, na ramani ya utekelezaji (roadmap) iliyowekwa kwenye Ilani ya Uchaguzi.
00:00 - Swali la Mhe. Ado Shaibu kuhusu Katiba Mpya
01:05 - Waziri Mkuu aanza kutoa majibu bungeni
01:55 - Kauli ya serikali na ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
02:20 - Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na mpango kazi (Roadmap)
03:06 - Hatua za kisheria na miswada ya mabadiliko ya Katiba
04:00 - Umuhimu wa Katiba kama sheria mama na hitimisho
#AdoShaibu #WaziriMkuu #KatibaMpya #BungeLaTanzania #GlobalTVOnline #HabariZaBunge
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com