MAHOJIANO MAALUM | Rais Mstaafu Kikwete amzungumzia Hayati Raila Odinga | Tanzania imepoteza rafiki
Azam TV и UTV Tanzania
0:00 / 0:00
MAHOJIANO MAALUM | Rais Mstaafu Kikwete amzungumzia Hayati Raila Odinga | Tanzania imepoteza rafiki
68 038 просмотров · 10 месяцев назад
Azam TV и UTV Tanzania
68 038 просмотров · 10 месяцев назад
Fuatilia mahojiano maalum ya Mwandishi wa Habari wa AzamTV, Ivona Kamuntu aliyofanya na Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mengi kuhusu uhusiano wake na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Hayati Raila Amolo Odinga aliyefariki Oktoba 15, 2025 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Dkt. Kikwete pia amezungumza uhusiano wa kiongozi huyo wa zamani wa Chama cha ODM, namna alivyopenda na kuhimiza ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya, pia namna alivyotatua mgogoro mkubwa wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007.
#AzamTVUpdates #AzamNews