Перейти к содержимому

ALICHOKISEMA MBUNGE WA MVOMERO KWENYE MASHINDANO YA...

Daily News Digital

0:00 / 0:00

ALICHOKISEMA MBUNGE WA MVOMERO KWENYE MASHINDANO YA...

75 просмотров · 3 дня назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
75 просмотров · 3 дня назад
MOROGORO: MBUNGE wa Jimbo la Mvomero, Sala Msafiri, ameahidi kuboresha viwanja vya michezo katika tarafa zote nne za Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuimarisha michezo na kuwapa vijana mazingira bora ya kufanya mazoezi na kushiriki mashindano. Msafiri amesema mpango huo unahusisha ukarabati wa kiwanja kimoja katika kila tarafa, ambapo kila kiwanja kitawekewa taa za sola ili kuwawezesha vijana kucheza na kufanya mazoezi hata wakati wa usiku. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09