Перейти к содержимому

CHEKECHE | Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Sudani na athari kwa uchumi na maisha ya watu

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

CHEKECHE | Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Sudani na athari kwa uchumi na maisha ya watu

605 просмотров · 1 год назад
UTV Tanzania
186 тыс. подписчиков
605 просмотров · 1 год назад
Kwa zaidi ya miaka miwili sasa kumekua na vita ya wenyewe kwa wenyewe Nchini Sudan na kuleta athari katika nyanja tofauti na kutishia amani kwa wananchi wake huku ikihusisha miji mbali mbali ikiwemo mji mkuu Khartoum. Je, chanzo cha vita hiyo ni nini? na ni kwa namna gani Sudan inaweza kujikwamua katika vita hiyo na kurudisha amani kwa wananchi wake? Ungana na Raymond Nyamwihula akiwa na wachambuzi Godfrey Mchungu pamoja na Suphian Mbalazi wakichambua swala hilo katika kipindi cha Chekeche kinachoruka kila siku ya Jumamosi saa tatu usiku. #azamtvupdates #azamutv #azamtv #Sudan #chekeche #vita