Перейти к содержимому

Vita vya mahasimu wawili nchini Sudan vinayvowatesa raia

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Vita vya mahasimu wawili nchini Sudan vinayvowatesa raia

208 просмотров · 2 г. назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
208 просмотров · 2 г. назад
Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, raia wa Sudan wamenaswa katika vita kati ya jeshi linaloongozwa na kiongozi wa nchi hiyo Abdel Fattah al-Burhan na vikosi vya wanamgambo wa RSF, vinavyoongozwa na naibu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo. Vita hivyo vimesababisha vifo vya makumi kwa maelfu ya watu na kuwalazimu zaidi ya wengine milioni 8.5 kuyakimbia makazi yao. Umoja wa Mataifa umeutaja mgogoro huo kuwa mkubwa zaidi duniani. Makala ya Mbiu ya Mnyonge inawatazama wakimbizi hawa. #VitavyaSudan #UmojawaMataifa #dwkiswahili