Перейти к содержимому

Nani walifyatua risasi bungeni Kenya? Dira ya Dunia TV Jumatatu 28/04/2025

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

Nani walifyatua risasi bungeni Kenya? Dira ya Dunia TV Jumatatu 28/04/2025

20 238 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
BBC News Swahili
1,01 млн подписчиков
20 238 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Uchunguzi mpya wa kitengo cha upekuzi cha BBC Africa Eye umefichua mwanajeshi wa Kenya aliyewafyatulia risasi waandamanaji nje ya Bunge la Kenya mwaka jana. Maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024 yaligeuka kuwa ghasia wakati ambapo maelfu ya wakenya walipozingira bunge ili kuzuia wabunge wasipitishe mswada huo. #bbcswahilileo #bbcswahili #Kenya #Bunge #TunduLissu #Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili