Перейти к содержимому

TAHARUKI ZIWA NYASA! MELI YALIPUKA MOTO, VIFO VYARIPOTIWA

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

TAHARUKI ZIWA NYASA! MELI YALIPUKA MOTO, VIFO VYARIPOTIWA

12 794 просмотра · 9 ч назад
TMC NEWS TV
42,2 тыс. подписчиков
12 794 просмотра · 9 ч назад
Taharuki imetanda baada ya meli ya MV Chambo iliyokuwa ikisafiri kutoka Mbamba Bay, mkoani Ruvuma, kuelekea Mitengula nchini Msumbiji, kushika moto na kulipuka ikiwa ndani ya Ziwa Nyasa. Taarifa za awali zinaeleza kuwa vifo vimeripotiwa huku baadhi ya abiria wakinusurika katika mkasa huo. Vikosi vya uokoaji vinaendelea na juhudi za kukabiliana na hali hiyo, huku taarifa zaidi zikisubiriwa kutoka kwa mamlaka husika. #TMCNEWS565 #ZiwaNyasa #BreakingNews #Habari