TUNDU LISSU AZUILIWA KUVAA TSHIRT YA " LISSU SIXTEEN BULLETS SURVIVOR " WENGINE WOTE WAMEVAA
UHURU MEDIA ONLINE
0:00 / 0:00
TUNDU LISSU AZUILIWA KUVAA TSHIRT YA " LISSU SIXTEEN BULLETS SURVIVOR " WENGINE WOTE WAMEVAA
18 162 просмотра · 16 часов назад
UHURU MEDIA ONLINE
348 тыс. подписчиков
18 162 просмотра · 16 часов назад
Leo septema 7 CHADEMA inaadhimisha siku ya mashujaa kuwakumbuka wote waliopitia gharama katika mapambano ya haki na demokrasia na pia ni kumbukumbu ya Mh Tundu Lissu Kupigwa risasi mwaka 2017 akiwa nyumbani kwake Area D mkoano Dodoma alipotoka kwenye vikao vya bunge na watu wote mahakamani Leo katika Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu wamevaa t shirt zimeandikwa " LISSU SIXTEEN BULLETS SURVIVOR " lakini wakati mh Tundu lissu akiingia mahakamani kwa furaha amesema " Shati Yangu wameivamia , wameing'ang'ania "
#tundulissu #mahakamani