Serikali yatakiwa kuimarisha usalama Moyale kufuatia kuzuka kwa makabiliano mapya mpakani
KBC Channel 1
0:00 / 0:00
Serikali yatakiwa kuimarisha usalama Moyale kufuatia kuzuka kwa makabiliano mapya mpakani
2 252 просмотра · 9 дн. назад
KBC Channel 1
794 тыс. подписчиков
2 252 просмотра · 9 дн. назад
Viongozi kadhaa kutoka kaunti ya Marsabit wanatoa wito kwa serikali iimarishe usalama huko Moyale kufuatia kuzuka tena kwa makabiliano ya mpakani. Kulingana na wabunge hao, makabiliano hayo yamewalazimu watu kutoka nchi jirani ya Ethiopia kutorokea eneo hilo kwababu ya mapigano yanayoendelea nchini mwao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive