Перейти к содержимому

MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA PEMBA – AWAMU YA PILI

zaazanzibar

0:00 / 0:00

MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA PEMBA – AWAMU YA PILI

1 797 просмотров · 1 дн. назад
zaazanzibar
95 подписчиков
1 797 просмотров · 1 дн. назад
Safari ya kuelekea Pemba yenye miundombinu ya kisasa ya usafiri wa anga inaendelea! Katika awamu ya pili ya kipindi hiki, tunakuletea mwendelezo wa taarifa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pemba, mradi muhimu unaolenga kuimarisha huduma za usafiri wa anga, kukuza utalii, kufungua fursa mpya za uwekezaji na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa Pemba na Zanzibar kwa ujumla. Kupitia kipindi hiki, utapata fursa ya kushuhudia hatua mbalimbali za utekelezaji wa mradi huu, juhudi zinazofanyika pamoja na matarajio ya kuwa na uwanja wa ndege wenye viwango vya kimataifa. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pemba – Daraja jipya la fursa, maendeleo na uchumi imara. Kipindi hiki kimeandaliwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA). #UwanjaWaNdegeWaKimataifaWaPemba #MaendeleoYaMiundombinu #ZanzibarAirportsAuthority #PembaInaendelea #SafariYaMaendeleo