Перейти к содержимому

MELI MBILI ZA MAFUTA ZALIPULIWA HORMUZ - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ZISIZO HALALI

Global TV Online

0:00 / 0:00

MELI MBILI ZA MAFUTA ZALIPULIWA HORMUZ - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ZISIZO HALALI

7 150 просмотров · 5 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
7 150 просмотров · 5 ч назад
MELI MBILI ZA MAFUTA ZALIPULIWA HORMUZ - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ZISIZO HALALI Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limeripoti matukio mawili tofauti ya moto yaliyohusisha meli mbili kubwa za kubeba mafuta (Super tankers) pamoja na boti ya uokoaji katika Mlango wa Bahari wa Hormuz. Meli moja imeripotiwa kugonga bomu lililotegwa majini baada ya kutumia njia zisizoidhinishwa, huku taharuki ikizidi kutanda kuhusu usalama wa usafirishaji wa nishati ya mafuta duniani na uwezekano wa kupanda kwa bei ya mafuta. Tazama taarifa kamili kufahamu undani wa tukio hili. 00:00 - Utangulizi & Meli za mafuta kushika moto 00:54 - Meli ya kwanza yagonga bomu la majini 01:53 - Meli ya pili (Super tanker) na boti ya uokoaji 03:01 - Athari za kiuchumi na bei ya mafuta duniani 03:39 - Tangaza biashara yako na Global TV #StraitOfHormuz #Iran #BeiYaMafuta #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com