Перейти к содержимому

Kwale yazindua mpango wa miaka mitano wa kuwalinda watoto na kuwawezesha kubaki shuleni

Dusted Lens News-Kenya

0:00 / 0:00

Kwale yazindua mpango wa miaka mitano wa kuwalinda watoto na kuwawezesha kubaki shuleni

115 просмотров · 13 дн. назад
Dusted Lens News-Kenya
252 подписчика
115 просмотров · 13 дн. назад
Mpango wa miaka mitano wa kulinda watoto umezinduliwa katika kaunti ya Kwale kwa lengo la kukabiliana na mimba za utotoni, ndoa za kulazimishwa na aina nyingine za unyanyasaji zinazotishia usalama na elimu ya watoto. Mpango huo unaojulikana kama Tulinde Mtoto, utaanza katika takribani shule 20 katika kaunti ndogo za Msambweni na Matuga kabla ya kuenezwa katika maeneo mengine ya kaunti.