Wakazi wa Kwale wahimizwa kupima macho kuzuia upofu
Dusted Lens News-Kenya
0:00 / 0:00
Wakazi wa Kwale wahimizwa kupima macho kuzuia upofu
36 просмотров · 3 дн. назад
Dusted Lens News-Kenya
252 подписчика
36 просмотров · 3 дн. назад
Akizungumza wakati wa zoezi la kutoa huduma za matibabu ya macho bila malipo, Afisa wa Mawasiliano wa Kwale Eye Centre, Mishi Nasir, alisema takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa utandu ni miongoni mwa visababishi vikuu vya upofu duniani, huku wakazi wa Kwale wakiendelea kukabiliwa na changamoto za magonjwa ya macho.