MC Gara B: Consistency ndiyo kila kitu, leo nasimama kama MC na Wedding planner bora Tanzania!
Dozen Selection
0:00 / 0:00
MC Gara B: Consistency ndiyo kila kitu, leo nasimama kama MC na Wedding planner bora Tanzania!
31 266 просмотров · 4 месяца назад
Dozen Selection
262 тыс. подписчиков
31 266 просмотров · 4 месяца назад
Anajulikana kwa uwezo wake wa kipekee wa kuongoza matukio na kuleta burudani ya hali ya juu, hii ni safari yenye mvuto ya Mc Gara B. Akiwa na zaidi ya miaka 14 kwenye tasnia. Kujituma, uvumilivu na mapenzi yake kwa kazi vimebadilika kuwa mafanikio makubwa na kumfanya kuwa jina maarufu.