Перейти к содержимому

WANAFUNZI 12 WAKAMATWA VIKACHANI WAKIVUTA BANGI WASIMAMISHWA MASOMO KWA SIKU 14

AMASHI TV

0:00 / 0:00

WANAFUNZI 12 WAKAMATWA VIKACHANI WAKIVUTA BANGI WASIMAMISHWA MASOMO KWA SIKU 14

1 363 просмотра · 3 года назад
AMASHI TV
7,19 тыс. подписчиков
1 363 просмотра · 3 года назад
Wanafunzi 12 katika shule ya Sekondari Handeni wilayani Handeni mkoani Tanga wamekutwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamali muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa vichakani kufuatia oparesheni maalumu ya kuwasaka wanafunzi ambao mpaka sasa bado hawajaripoti shuleni kama anavyobainisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Handeni Mussa Mkombati mbele ya walimu, wazazi pamoja na wanafunzi hao. Lusubilo Sichone ni mkuu amesema adhabu ambazo wameanza kuzitoa kisheria kwa wanafunzi hao huku akiwataka wazazi kufatilia maendeleo ya watoto wao mara kwa mara. I Nao badhi ya wanafunzi waliokutwa wakijihusisha na vitendo hivyo wamewaonya wanafunzi wenzao kutojiingiza kwenye vitendo hivyo badala yake wazingatie masomo huku wazazi nao wakipongeza hatua zilizochukuliwa na walimu pamoja na viongozi katika kukomesha vitendo hivyo kwa wanafunzi.