Перейти к содержимому

BEMBEA YA MAISHA FULL PLAY SEHEMU YA 4 (ONYESHO II)

BOB TV ANIMATIONS

0:00 / 0:00

BEMBEA YA MAISHA FULL PLAY SEHEMU YA 4 (ONYESHO II)

8 580 просмотров · 1 год назад
BOB TV ANIMATIONS
15,7 тыс. подписчиков
8 580 просмотров · 1 год назад
Onyesho Il  Onyesho hili linatokea nyumbani kwa Sara, kijijini. Sara na Neema wanajadiliana kuhusu suala la utamaduni na mabadiliko ya kijamii.  Neema anasema ulimwengu unakwenda mbio ilhali watu wengine wamebaki nyuma katika mielekeo ya kijadi ya kubugia pombe bila kikomo.  Sara anamtetea Yona kwa kutowajibika ipasavyo na majukumu ya nyumbani hasa yale ya mifugo. Kulingana na Sara, mwanamume hawezi kuwekwa katika kiwango kimoja na mwanamke. Anasema  Yona anatekeleza majukumu yake ipasavyo. Hizo ni fikra za kitamaduni. Kwa Sara, mwanamume ana nafasi yake katika jamii na hapaswi kumsaidia mwanamke kazi za nyumbani. Kufanya hivyo ni kualika minong'ono ya wanajamii na kuwakosesha wanawe waume wa kuwaoa.  Sara anatunza heshima ya ndoa yake ili watoto wake wapate fanaka maishani licha ya mateso anayopata kutoka kwa mumewe. Sara anampa Neema ushauri unaoweza kuifanikisha ndoa yake. Anamshauri Neema azungumze na baba yake kwa hekima ili amsaidie kubadilisha msimamo wake, hasa kuhusiana na ulevi. #animation #kiswahilirahisi #bembeayamaisha #tamthilia ‪@KatuniZaMorowa‬ ‪@user-cn8bo1zo9d‬ ‪@pstjanerosekhaemba‬ ‪@Kiswahili‬ ‪@jeyvonfr‬ ‪@AkiliAndMe‬ ‪@Papafilipoultimatetv‬ ‪@babybus‬ ‪@CNN‬