BEMBEA YA MAISHA FULL PLAY || SEHEMU 4 (ONYESHO III)
BOB TV ANIMATIONS
0:00 / 0:00
BEMBEA YA MAISHA FULL PLAY || SEHEMU 4 (ONYESHO III)
3 451 просмотр · 1 год назад
BOB TV ANIMATIONS
15,7 тыс. подписчиков
3 451 просмотр · 1 год назад
Masuala makuu
Katika onyesho hili, Yona anapata fursa ya kujirudia na kufikiria maisha yake ya siku za
usoni. Anatambua kuwa mke wake ni mgonjwa kwani sasa maisha yake yanaendeshwa
na madawa. Anaamua kuacha kunywa pombe kabisa. Uamuzi wa Yona una umuhimu
mkubwa kwa sababu anakubali kuwa alimkosea mkewe na kwamba umefika wakati wa
kujutia makosa hayo na kuanza upya. Kupitia kwa Sara na Neema, anaonekana kuomba
msamaha familia yake kwa yote aliyowatendea na kuwaomba wampe nafasi ya kuanza
maisha yake upya. Hii ni hatua kubwa na mwafaka katika maisha ya Yona na familia
yake. Anaahidi kumtunza mkewe kikamilifu.
@KatuniZaMorowa @Papafilipoultimatetv @AkiliAndMe @CNN @babybus @user-cn8bo1zo9d @Kiswahili @pstjanerosekhaemba @jeyvonfr @Kiswahili
#animation #part #bembeayamaisha #love #kiswahilirahisi #tamthilia