HAYA NDIO MAAJABU YA ZIWA NYASA LINALO MILIKIWA NA NCHI TATU.
VOT MEDIA
0:00 / 0:00
HAYA NDIO MAAJABU YA ZIWA NYASA LINALO MILIKIWA NA NCHI TATU.
2 243 просмотра · 3 года назад
VOT MEDIA
117 тыс. подписчиков
2 243 просмотра · 3 года назад
Bi Ostina Nombo ambae ni Afisa wa uvuvi wilaya ya Nyasa akizungumza na VOT MEDIA katika maonesho ya nane nane yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya katika viwanja vya John Mwakangale,
Bi Nombo amezungumzia kuhusu uwepo wa Ziwa Nyasa na kwa namna linavyozinufaisha nchi Tatu yaani Tanzania Malawi pamoja na nchi ya Msumbiji katika shughuli za kilimo pamoja na uvuvi.
kivutio kikubwa katika ziwa hilo ni uwepo wa visiwa pamoja na mito ambayo imetumika kama mipaka kutenganisha nchi hizo.