DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 20.04.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 20.04.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
20 074 просмотра · Трансляция закончилась 5 месяцев назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
20 074 просмотра · Трансляция закончилась 5 месяцев назад
Hujambo yale utakayoyasikia katika Dunia Yetu Leo Mchana ni pamoja na:-
Pakistan inaandaa mazungumzo kati ya Marekani na Iran, lakini mvutano katika Hormuz unatishia mafanikio yake.
Kongo na waasi wa M23 wamekubaliana hatua kadhaa za kibinaadamu na kuwaachilia huru wafungwa katika kipindi cha siku 10 zijazo.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili