Перейти к содержимому

Zumari: Usiyoyajua kuhusu Dkt. Mary Nagu Mchumi, Mbunge na Waziri wa zamani - Part 2

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Zumari: Usiyoyajua kuhusu Dkt. Mary Nagu Mchumi, Mbunge na Waziri wa zamani - Part 2

532 просмотра · 2 года назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
532 просмотра · 2 года назад
Kutana na Dkt Mary Nagu Mchumi na Mbunge aliye hudumu Ubunge kwa Miaka 25 na kuteuliwa kuongoza wizara mbalimbali kwa miaka 20 ikiwemo Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto,Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mipango,Uwezeshaji na Sekta binafsi, Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais. Kupitia kipindi cha Zumari kinachoongozwa na Jaafar Mponda Dkt Nagu anasimulia mambo mbalimbali kuhusu historia yake ikiwemo jinsi alivyotoka kwenye jamii ya Wabarbaig na Wairaq mpaka kufikia mafanikio makubwa katika fani ya uchumi na siasa. Usikose kufatilia kipindi cha zumari kila siku za jumatatatu saa 3:00 usiku kupitia UTV ndani ya Kisimbuzi cha Azam Tv