"Kamateni na Mkawahoji” WAZIRI KWAGILWA AAGIZA KUKAMATWA VIGOGO TANGA
Toka zamani Tv
0:00 / 0:00
"Kamateni na Mkawahoji” WAZIRI KWAGILWA AAGIZA KUKAMATWA VIGOGO TANGA
289 просмотров · 18 часов назад
Toka zamani Tv
155 тыс. подписчиков
289 просмотров · 18 часов назад
"Kamateni na Mkawahoji” WAZIRI KWAGILWA AAGIZA KUKAMATWA VIGOGO TANGA
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe Reuben Kwagilwa ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Kaimu Afisa Biashara wa Jiji la Tanga Hussein Mbwana, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji Bahati Kahindi na meneja wa soko la Mgandini kwa kushindwa kusimamia usafi wa masoko.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...