Umefanya Mengi… Lakini Je, Yamekubaliwa na Allah?
Halaal Charity Tv
0:00 / 0:00
Umefanya Mengi… Lakini Je, Yamekubaliwa na Allah?
191 просмотр · 2 месяца назад
Halaal Charity Tv
5,23 тыс. подписчиков
191 просмотр · 2 месяца назад
Umefanya Mengi… Lakini Je, Yamekubaliwa na Allah? Hilo ndilo swali muhimu ambalo kila Muislamu anapaswa kujiuliza. Katika darsa hii yenye mawaidha mazito, utajifunza kuwa si wingi wa ibada unaomfanya mtu afaulu, bali ni kukubaliwa kwa amali zake mbele ya Allah. Fahamu mambo yanayochangia kukubaliwa kwa ibada kama ikhlasi (unyofu), kufuata Sunnah ya Mtume ﷺ, na kuwa na taqwa. Tazama hadi mwisho ujifunze jinsi ya kuhakikisha amali zako zinapata ridhaa ya Allah.