Alichokifanya Lulu na Mama Yake Leo Mahakamani!
Global TV Online
0:00 / 0:00
Alichokifanya Lulu na Mama Yake Leo Mahakamani!
387 964 просмотра · 8 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
387 964 просмотра · 8 лет назад
Subscribe / uwazi1
DAR: Queen wa Bongo muvi ambaye hivi karibuni amelamba dili nono la kuwa balozi wa DSTV Sinema zetu, Elizabeth Michael 'Lulu' amefika tena leo Oktoba 20, 2017 katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, kuendelea kusikiliza kesi inayomkabili ya kusababisha kifo cha Aliyekuwa muigizaji nguli marehemu Steven Kanumba, bila kukusudia.
Lulu amewasili mahakamani hapo akiwa ameambatana na mama yake mzazi pamoja na wakili wake Peter Kibatala.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .