ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ)
Wizara ya Ujenzi
0:00 / 0:00
ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ)
2 103 просмотра · 1 год назад
Wizara ya Ujenzi
9,23 тыс. подписчиков
2 103 просмотра · 1 год назад
📌 Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025.
Ulega ametoa maelekezo hayo jijini Dodoma leo Juni 01, 2025 akiwa ameongozana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax na kukagua barabara hiyo ambayo utekelezaji wake umekuwa wa kusuasua kwa sababu ya upungufu wa wafanyakazi na mitambo ya ujenzi.