Перейти к содержимому

MUNGU ATUKUZWE | To God Be the Glory | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni | YEYE AJAE YUAJA

Maarifa Mtandaoni

0:00 / 0:00

MUNGU ATUKUZWE | To God Be the Glory | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni | YEYE AJAE YUAJA

52 просмотра · 13 дней назад
Maarifa Mtandaoni
51 подписчик
52 просмотра · 13 дней назад
🎵 MUNGU ATUKUZWE | SDAH. 341 – To God Be the Glory Instrumental Beat ya wimbo wa ibada “Mungu Atukuzwe”, unaojulikana kwa Kiingereza kama “To God Be the Glory.” Wimbo huu unamtukuza Mungu kwa mambo makuu aliyotutendea, hasa upendo wake, zawadi ya Yesu Kristo, wokovu na ahadi ya uzima wa milele. Pia unatukumbusha tumaini kuu kwamba Yesu atakuja tena na tutamwona. 🎶 UBETI WA 1 Mungu atukuzwe, kwa mambo makuu, Upendo wake ulitupa Yesu, Aliyejitoa maisha yake, Tuwe nao uzima wa milele. Msifu, msifu, dunia sikia, Msifu, msifu watu wafurahi, Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana, Ukamtukuze kwa mambo yote. 🎶 UBETI WA 2 Wokovu kamili, zawadi kwetu, Ahadi ya Mungu kwa ulimwengu, Wanaomwamini na kuungama, Mara moja wale husamehewa. 🎶 UBETI WA 3 Alitufundisha mambo makuu, Alihakikisha wokovu wetu, Lakini zaidi ajabu kubwa, Yesu atakuja na tutamwona. 🎧 INSTRUMENTAL BEAT Instrumental hii inaweza kutumika kwa: • Kuimba pamoja na instrumental • Choir rehearsal • Worship practice • Mazoezi ya waimbaji • Ibada na sifa • Kujifunza melody ya wimbo • Kuimba nyumbani au kanisani 📖 Mungu Atukuzwe 🇬🇧 To God Be the Glory 📌 MAARIFA MTANDAONI Mafundisho • Vitabu • Lesoni • Mikutano • Video • Sauti • Nyimbo • Taarifa muhimu 🔔 Subscribe kwenye channel ya Maarifa Mtandaoni kwa instrumental beats, nyimbo za ibada, mafundisho na maudhui mengine ya kiroho.