Перейти к содержимому

WATU TISA WAFARIKI DUNIA BAADA YA MABASI MAWILI KUGONGANA DODOMA

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

WATU TISA WAFARIKI DUNIA BAADA YA MABASI MAWILI KUGONGANA DODOMA

64 022 просмотра · 3 мес. назад
ITV Tanzania
1,38 млн подписчиков
64 022 просмотра · 3 мес. назад
Watu 9 wamefariki dunia huku 66 wakijeruhiwa katika ajali ya mabasi mawili la Kampuni ya Isamilo lenye namba za usajili T428 EPX na Basi la Kampuni ya Libanika lenye namba za usajili T897 DUR kugongana uso kwa uso, Kijiji cha Ibiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma huku chanzo cha ajali hiyo kikielezwa kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ya Isamilo Bw. Adrian James kuyapita magari ya upande wake bila kuchukua tahadhari ya upande wa pili. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg