BSc Software Engineering Sio Coding Tu! | Utakuwa Nani Ukimaliza?
Mohamed Hafidh Tz
0:00 / 0:00
BSc Software Engineering Sio Coding Tu! | Utakuwa Nani Ukimaliza?
885 просмотров · 13 дн. назад
Mohamed Hafidh Tz
20 тыс. подписчиков
885 просмотров · 13 дн. назад
Software Engineering ni coding tu? 🤔 Au kuna zaidi ya kuandika code?
Katika video hii tunaichambua BSc Software Engineering kwa lugha rahisi na kuangalia kwa undani degree hii inakuandaa kufanya nini.
Tutazungumzia:
• Software Engineering ni nini?
• Unajifunza nini kwenye degree hii?
• Kwa nini Software Engineering sio programming pekee?
• Requirements, system design, development, testing, deployment na maintenance vina maana gani?
• Unajenga skills gani?
• Unaweza kuelekea kwenye career areas zipi?
• Software Engineering inatofautianaje na Computer Science?
• AI ina maana gani kwa future ya Software Engineering?
• Na ni mtu wa aina gani anayefaa kusoma degree hii?
Pia tutaangalia mwelekeo wa curriculum ya BSc Software Engineering, ikiwemo programming, databases, software testing, systems analysis and design, web and mobile development, cloud computing, artificial intelligence, software deployment na project management.
Jambo muhimu ni hili:
Software Engineer siyo tu mtu anayejua kuandika code.
Ni mtu anayejifunza namna ya kuchukua problem au requirement, kuichambua, ku-design solution, kuijenga, ku-test, kui-deploy na kui-maintain.
Kama unafikiria kusoma Software Engineering au unataka kuelewa tofauti yake na Computer Science, video hii ni kwa ajili yako.
📌 Hii ni sehemu ya playlist yetu ya kuchambua Degree za Technology, Computing na Digital Fields.
👉 Subscribe kwenye channel na fuatilia video zinazofuata.
Usichague programme kwa kusikia jina lake. Ichague baada ya kuielewa.
🎬 Karibu Mohamed Hafidh Tz – Swahili Tech Learning Hub! 🚀
Kwenye channel hii utajifunza teknolojia kwa urahisi kupitia tutorials za hatua kwa hatua kwa Kiswahili.
💻 Topics kuu:
👉 Computer tutorials (Excel, Word)
👉 Google tools (Docs, Forms, Drive)
👉 Programming for beginners
👉 Tips & tricks za simu na kompyuta
👉 Graphic design & software usage
🔥 Mafunzo rahisi, practical na yanafaa kwa beginners.
───────
🔔 Subscribe kupata tutorials mpya kila wiki:
/ @mohamedhafidh255
───────
🌐 Nifollow pia:
WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
Instagram: / mohamedhafidh_tz
TikTok: / mohamedhafidh_tz
🙏 Asante kwa support!
#softwareengineer #university #computerscience